Tunamshukuru Mungu kwa kumwokoa Dotnatha. Kikubwa zaidi ni kwamba ndani ya mwezi mmoja wa wokovu wake keshatunga nyimbo tatu, na yuko mbioni kuachia album.
My Take; Wokovu ni mzuri, lakini kutoa nyimbo naona kama ni mapema sana. Isije ikawa anatafuta mlango mwingine wa kutokea, baada ya muziki wa dansi na movie kubuma. Yetu ni macho.