Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

hahaha, aje kwangu maana sijawahi kupendwa na mabinti😀😀😀
 
Kwa ujasiri huu, huyu dada ni kiwanda, azma ya TZ ya viwanda inaanza kutimia.
 
Hahahahah huyu manz dah! Namuonea imani anavyoteseka

Nakumbuka baada ya kuua form 4 niliwahi kupendwaga na beki3 wa jirani akawa anamtumia bek3 wetu kunletea zawadi, soda na biskuti ila tatizo nilikuwa simkubali yani nikaishia kumlia vyake bila mafanikio.

Poleni ME ambao hamjawahi kupendwa na wanawake, kupendwa ni raha mno hasa ukiwa unafahamu fika kuhusu hilo and that marked my 4th time kuzimikiwa na KE automatically.
 
mimi nampendaga tausi mdegela mje na camera mnichukue video
tausi.jpg
 
Back
Top Bottom