Anaigiza huyo[emoji3][emoji3]me bado naamini hayuko serious, ni mwendelezo wa vichekesho vyake
Nitakuja kukupaka mafuta mkuuKumbe kukaa tako wazi dili ngoja na mimi kesho naweza nikajiopolea Sepetu
Kweli kabisa. Ila kwa anayoyataka ataifanya safari yake ya usanii iwe fupi.ahaha anakuambia kwa level aliyofika anajua atampata
kaanza kulewa mapema
Hahaaa! Ila kweli lakini.Biashara huwa ni asubuhi asubuhi mkuu!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] stella!!!?Natamani niwe Ben pol
Tupia hyo pic ya Ben akipakwa mafuta mkuu... maana naiskia tu hyo skandali.Ben pol tangia aanze kupakwa mafuta ya mgando makalioni namwona mkuda tu
hapo tu waliokua wanamkubali washaanza kumuona mzinguajiKweli kabisa. Ila kwa anayoyataka ataifanya safari yake ya usanii iwe fupi.
Umeonaee. Ameshalewa hivyo visifa.hapo tu waliokua wanamkubali washaanza kumuona mzinguaji
ndio tatizo la wasanii wakibongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh...!! Ebitoke eeh hii ni KIKI ama..??
Ila mtaendana wa kuwa wote mnaonesha mnapenda kupaka mafuta.,, Ebitoke unavyojisiliba hiyo mifuta usoni Duh., utadhani ugomvi