Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Umeonaee. Ameshalewa hivyo visifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonaee. Ameshalewa hivyo visifa.
Mwanamme Machine.Naanza kuamini kuwa ukiacha sukari bidhaa ingine adimu tanzania ni mkongojo.
Hahahaaaa kweli kabisa tena kupakwa na midume mizito zito masikiniKupakwa mafuta hakujawahi mwacha mtu salama
Mbona haina maana topic yako bro au swala la kiki we hulifanyi nn okay kama hujui nini maana ya kiki usinge andika hii thread which means unatk kik attention [emoji12] [emoji12] Acha ujinga tafuta hela watu wanafanya vitu vng kufany uchum wao ubalance we unaita kiki by the way ile ni kaz yake so anaifanya vyovyote na kama hujui since zile pic za nusu uchi his bank account anaweza akakununua wewe na panya zenu alafu mambo.mengine n siriNi ngumu kuamini nitakachosema, ila tukiweka ushabiki pembeni na kama ulisikiliza vizuri kipindi cha Shilawadu.. Jinsi Snura alivyosema walivyofanya ili kutengeneza tukio ili waonekane wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Kupitia kipindi cha Shilawadu na Maelezo ya Snura nashawishika kuamini hata hili linaloendelea sasa kati yake na Ebitoke limetengenezwa pia.
Siku hizi Ben amekuwa mtu wa kupenda kiki za kijinga mpaka anafikia hatua ya kupiga picha za nusu uchi.
Anapenda kiki kama harmorapa. Nadhani anajifananisha na kina Jux, Baraka wakati yeye mziki wake ni mzuri kuliko hao jamaa
Ila sio dume kupakwa mafuta mkuuMjini kila mtu afanye yake ili mradi mkono unaenda kinywani.