Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

Naanza kuamini kuwa ukiacha sukari bidhaa ingine adimu tanzania ni mkongojo.
 
Utampendaje mwanamke mwenzako kimapenzi? Nyie wanawake Mungu anawaona mjue!
 
Ni ngumu kuamini nitakachosema, ila tukiweka ushabiki pembeni na kama ulisikiliza vizuri kipindi cha Shilawadu.. Jinsi Snura alivyosema walivyofanya ili kutengeneza tukio ili waonekane wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Kupitia kipindi cha Shilawadu na Maelezo ya Snura nashawishika kuamini hata hili linaloendelea sasa kati yake na Ebitoke limetengenezwa pia.

Siku hizi Ben amekuwa mtu wa kupenda kiki za kijinga mpaka anafikia hatua ya kupiga picha za nusu uchi.

Anapenda kiki kama harmorapa. Nadhani anajifananisha na kina Jux, Baraka wakati yeye mziki wake ni mzuri kuliko hao jamaa
 
Maisha ni kupanga na kuchagua.,..!! Si wengine tushafika vituoni kwenye hii safari duniani tunasubiri konda asimamishe gari tushuke...!!
 
Kupakwa mafuta hakujawahi mwacha mtu salama
 
Mbona haina maana topic yako bro au swala la kiki we hulifanyi nn okay kama hujui nini maana ya kiki usinge andika hii thread which means unatk kik attention [emoji12] [emoji12] Acha ujinga tafuta hela watu wanafanya vitu vng kufany uchum wao ubalance we unaita kiki by the way ile ni kaz yake so anaifanya vyovyote na kama hujui since zile pic za nusu uchi his bank account anaweza akakununua wewe na panya zenu alafu mambo.mengine n siri
 




Im speechless.... Kwa wanasaikolojia labda wanaweza elewa ni nini hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…