Duhh ...huioni...!?Mbona hamna video mtani?
hamna kitu hapa
Im speechless.... Kwa wanasaikolojia labda wanaweza elewa ni nini hiki.
Ben atamla huyuu..!!Amemtunzia SEALED yake...hahaha
Mkuu kwa kuwa mimi sifuatilii sana Insta...vipi reaction ya ben pol kuhusu hii ishuBen atamla huyuu..!!
Anaigiza tu huyo
Im speechless.... Kwa wanasaikolojia labda wanaweza elewa ni nini hiki.
Im speechless.... Kwa wanasaikolojia labda wanaweza elewa ni nini hiki.
Ben ameheshimu hisia za binti...Mkuu kwa kuwa mimi sifuatilii sana Insta...vipi reaction ya ben pol kuhusu hii ishu
So crazy....love is!Masikini wakati kuna boy from next door anampenda binti kwa dhati.
Mie ningetoa tu sealed hyo na kusepa, mondi keshasema hawaaminiki hawa
Mkuu hii ni special... We huoni maajabu..yani hadi nimeileta hapa jua its phenomenon....
Ahaa sawaBen ameheshimu hisia za binti...