Msanii fatuma anaomba ufadhili

Msanii fatuma anaomba ufadhili

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Msanii huyu Fatuma wa jijini Mwanza anaomba ufadhili kwa ajili ya kurekodi albam yake ya Audio na Video.
Kwa yeyote mwenye nia njema na Muziki wa Bongo flavor anaombwa kutoa mchango wake kupitia M-PESA kwa namba 0768-855445.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada mtakaoutoa.
 

Picha yake hiyo hapo juu.
 
Badala ya kuweka picha ya huyo msanii unatuwekea kompyuta yako ya kazini haya bana
 
Back
Top Bottom