Msanii Florence Kassela a.k.a Dataz

Baada ya kuhitimisha masomo yake pale CBE, sasa hivi Dataz ni mama wa familia na anafanya kazi bank ya CRDB Tabata; kwa anayehitaji kumwona basi anapatikana hapo.
Kumbe ni mkaskazini pia, ok poa... 😉😉😉
 
Baada ya kuhitimisha masomo yake pale CBE, sasa hivi Dataz ni mama wa familia na anafanya kazi bank ya CRDB Tabata; kwa anayehitaji kumwona basi anapatikana hapo.
Huyu mdada alikua mtoto mkali wakati huo namaliza pale Mtwara Tech. Hata hivyo nasikia alihama akaenda kama siyo Ifunda ni Iyunga, sina hakika sana. Pale Mtwara Tech vijana wakimuita Macho ya Paka kwa sababu ya muonekano wake. Wakati huo alikua ni binti mbichi mweupeee!

Ila miaka ya 2000-2003 nilisikia wakiishi Tabata Chang'ombe.

Anyway kama ni mama wa familia, hongera zake!
 
Hebu twendeni mapumziko kidogo,tukirudi tutaendelea na mada yetu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hata mimi mzee nimeishi mitaa ya shule ya msingi chamwino kama unakwenda Area A hospital yangu kubwa ilikuwa ya Dr matovolwa
Hilo jina si geni?hospitali yake ilikua area a au area c??
 
mi nimeishi maeneo ya golden crown pale Area A


Mi niliishi maeneo ya pale mbele kidogo, ukikata kona kushoto upande ule kwenye ile nyumba ya nyuma kidogo. Dah, sisi sote ni wa huko huko.
 
"Eyo nyamaazaa shiko si mikosii" hii ngoma naikubali na kaka ake squeezer kapotea kweli. btw nimewamiss na Park Lane wazee wa - Nafasi nyingine na wale waloimba "tanzania wote taifa la bongo kwenye hack time tunamek bingo"
Hivi squuezer ni ndugu yake kumbe?
 
M'bichi means bikra.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…