Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,986
Kumbe ni mkaskazini pia, ok poa... 😉😉😉Baada ya kuhitimisha masomo yake pale CBE, sasa hivi Dataz ni mama wa familia na anafanya kazi bank ya CRDB Tabata; kwa anayehitaji kumwona basi anapatikana hapo.