Msanii Florence Kassela a.k.a Dataz

"Eyo nyamaazaa shiko si mikosii" hii ngoma naikubali na kaka ake squeezer kapotea kweli. btw nimewamiss na Park Lane wazee wa - Nafasi nyingine na wale waloimba "tanzania wote taifa la bongo kwenye hack time tunamek bingo"

Dah ebwana noma. Hapa George Kassela (Squiza) Florence Kassela (Dataz) kule Barrish jamaa mmoja mturuki na kule Simon Sayi (complex) marehemu walikuwa na ngoma yao Nyamaza wakijiita Bongo Town Clan ni noma. Humo ndani Dataz kaharibu kinomanoma. Huyo ndio rapper mkali kwa wadada. Halafu wakagonga ngoma nyingine Taifa La Bongo featuring SumaLee na Noorah kama sijakosea. Dah! Mikono yote kanyonga Complex marehemu mwenyewe.

Rest In Peace Complex.
 
Huyu alianza harakati za mziki toka yuko shule, jina la Dataz katoka nalo sekondari kama utambulisho wake kwenye fani. Wakati huo tulikuja na kundi LA SOG lililojumuisha akina AY, Adam Senkwiji na PuffG (Gembe) kama sikosei.
Dataz alikua vizuri...long live Ifunda Tech the glorious!!!!
 
Iyunga ni full boys school,
 
anafanya kazi CRDB BANK tawi la tabata magengeni ni teller.asee huwa nikienda bank napanga foleni ya dirisha lake bado ni mkali sana.nasasa ndo amenoga sana.anaishi na squezer

Squeezer ni broo wake au????
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ...sikiliza wewee dataz...mme wa mtu ni hatari.. (?)ukiwa naye jivinjari. .....
Kiitikio tata! Hatari na ajivinjari??? Nashangaa kwanini kipindi kile ukionekana ni wimbo mzuri au nyimbo nyingi zilikuwa mbaya??? Mbona nyimbo za daz nundaz, juma nature, profesa Jay za kipindi kile hadi leo ziko vizuri?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kumbe bongo kuna wakali namna hii
 
anafanya kazi CRDB BANK tawi la tabata magengeni ni teller.asee huwa nikienda bank napanga foleni ya dirisha lake bado ni mkali sana.nasasa ndo amenoga sana.anaishi na squezer
Squizer si kaka yeke. Lakin pia inasemwa kwaolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…