TANZIA Msanii Fred Kiluswa afariki Dunia

TANZIA Msanii Fred Kiluswa afariki Dunia

Zee la Mandandu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,064
Reaction score
2,603
Muigizaji wa tamthilia na Filamu Nchini, Fredy Kiluswa amefariki Dunia. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa baadhi ya wasanii wakiwemo @jb_jerusalemfilms na Steve Mengele almaarufu Steve Nyerere.

Fredy ametamba na filamu na tamthilia mbalimbali ikiwemo tamthilia ya Mzani wa Mapenzi inayoonyeshwa katika channel ya Sinema Zetu ya Azam TV.

Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kwa Taarifa zaidi kuhusu msiba wa Fredy zitakujia,

1731782610749.jpg
 
Back
Top Bottom