TANZIA Msanii Fred Kiluswa afariki Dunia

Ni vile ukuwaji wa teknolojia ya mawasiliano umeshamiri na ndivyo taarifa nyingi zinatufikia kwa wepesi na haraka ila tokea kale watu wanatangulia , vijana watoto na wazee.

Rip kijana, shukrani nyingi sana kwa mwenyezi Mungu kwa ajili ya maisha yake na kile chema kizuri alichofanya katika jamii yake.
 
Ni nani?
 
Dar Kila mtu muigizaji duh
Kila mtu muigizaji kivipi?
Mimi hua sishobokei bongo Movie ila mara kadhaa nilikua nikikaa kwenye TV naona Dada zangu wanaangalia Sinema zetu huyu Marehemu alikua na kipaji cha pekee sana alijitahidi kuvaa uhusika angalau bongo movie i make sense ila ndio hivyo tena
R.I.P
Mwamba ameenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…