Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Kweli mkuu nilimwona karibu Tamthilia nyingi za hivi karibuni alikua anafanya vizuri sana aiseeJapo huwa sio mpenzi wa Bongo movie ila huyo jamaa hata mm namjua
Umeandika kwa level za chini sanaKuna mwamba mmoja alikuwa pale stendi ya tegeta nyuki,alikuwa ana tumboo kuubwaa,nae tumemzika last week,gafla kalala akuhamka,vijana wanaisha tutabakia wazee tuwastili wajane wao
Aaaaah mdio mambo gani tena haya we mzee?30s na 40s ndio umri rasmi wa kurudisha namba kwa sasa. Japo huyu simjui..
Pole kwa wafiwa, jamaa na marafiki.
Ila Mamdenyi kwa lugha za kigeni π Apumzike kwa amani FurediToo young my son.
What's the wrong ?
Rest Easy son.
Kiroho nimfananishe na SativaMuigizaji wa tamthilia na Filamu Nchini, Fredy Kiluswa amefariki Dunia. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa baadhi ya wasanii wakiwemo @jb_jerusalemfilms na Steve Mengele almaarufu Steve Nyerere.
Fredy ametamba na filamu na tamthilia mbalimbali ikiwemo tamthilia ya Mzani wa Mapenzi inayoonyeshwa katika channel ya Sinema Zetu ya Azam TV.
Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kwa Taarifa zaidi kuhusu msiba wa Fredy zitakujia,
View attachment 3153966
Usipende kiwa unatafuniwa kila kitu. Taarifa zingine zifuatilie wewe mwenyewe.Sababu za kifo chake ni nini mbona huwa hamleti taarifa zima mnaleta vipande vipande
NomaNdio huyo,wakuitwa Kinangwa
HatariYeah ni huyo huyo.
Jamaa alikuwa anaishi peke yake mkewe nae ni marehemu watoto wapo Bukoba kwa bibi mzaa mama alilala asubuhi kimya kumbe ameshaenda.
Sana yani...πMwamba alikuwa anajua kuuvaa uhusika, rip bro
π€π€ ππWhat's the wrong ?
Alikuwa na tatizo la moyo alilazwa mloganzila kwa muda kadhaa kidogoApumzike kwa amani mwamba! Alikuwa anaitendea haki kazi yake.
Chanzo cha kifo ni nini au alikuwa Kariakoo naye
Yaani moyo qumaamae,utatuondoa sana,tumsikilize dr janabiAlikuwa na tatizo la moyo alilazwa mloganzila kwa muda kadhaa kidogo
SanaMwamba alikuwa anajua kuuvaa uhusika, rip bro