2030 napaona mbali sanaMsanii Official Gachi, ambaye aliwahi kuimba wimbo wa “Samia Tunamkubali, Mama Asemewe”, amelalamikia kuvunjwa kwa sehemu yake ya biashara mkoani Singida.
Kupitia malalamiko yake, Gachi amesema kuwa pamoja na wafanyabiashara kulipa kodi, bado wanakabiliwa na vitendo anavyodai kuwa ni vya manyanyaso na kuvunjwa kwa maeneo yao ya biashara.
Ameomba waandishi wa habari waliopo Singida kufika katika eneo hilo na kushuhudia hali ilivyo, huku akitoa wito kwa wananchi kuungana katika kudai haki na kusimamia maslahi ya wafanyabiashara wanaodai kuathiriwa na zoezi hilo.
View attachment 3677799
Video hii akiwa anakata viuno jukwaani kwenye kampeni za CCM 2025
View attachment 3677804
Kumuimbia Samia haina maana uvunje sheria.Msanii maarufu kwa jina la Gachi, ambaye aliwahi kuimba wimbo wa “Samia Tunamkubali, Mama Asemewe”, amelalamikia kuvunjwa kwa sehemu yake ya biashara mkoani Singida.
Kupitia malalamiko yake, Gachi amesema kuwa pamoja na wafanyabiashara kulipa kodi, bado wanakabiliwa na vitendo anavyodai kuwa ni vya manyanyaso na kuvunjwa kwa maeneo yao ya biashara.
Ameomba waandishi wa habari waliopo Singida kufika katika eneo hilo na kushuhudia hali ilivyo, huku akitoa wito kwa wananchi kuungana katika kudai haki na kusimamia maslahi ya wafanyabiashara wanaodai kuathiriwa na zoezi hilo.
Video hii akiwa anakata viuno jukwaani kwenye kampeni za CCM 2025
Kwani wamemvunja kiuno, aendelee kukata viuno aone kama kuna mtu atathubutu kuivunja hiyo biashara yake mradi tu visiwe vigodoro hadharani.Msanii maarufu kwa jina la Gachi, ambaye aliwahi kuimba wimbo wa “Samia Tunamkubali, Mama Asemewe”, amelalamikia kuvunjwa kwa sehemu yake ya biashara mkoani Singida.
Kupitia malalamiko yake, Gachi amesema kuwa pamoja na wafanyabiashara kulipa kodi, bado wanakabiliwa na vitendo anavyodai kuwa ni vya manyanyaso na kuvunjwa kwa maeneo yao ya biashara.
Ameomba waandishi wa habari waliopo Singida kufika katika eneo hilo na kushuhudia hali ilivyo, huku akitoa wito kwa wananchi kuungana katika kudai haki na kusimamia maslahi ya wafanyabiashara wanaodai kuathiriwa na zoezi hilo.
Video hii akiwa anakata viuno jukwaani kwenye kampeni za CCM 2025
Huyo kiongozi anafuata utaratibu upi? Ule wa kuua watu hapo October 29? Au wa kuiba kura na kujitangaza mshindi? Chauma walipata kura ngapi za jumla hata wapate viti maalum bungeni?Sasa ukimuimba kiongozi ndiyo ruksa kutofuata utaratibu?..
Ndio uone huyu dada mjinga sana....ukimuangalia kajipodooooa utadhani ni mtu kumbe kichwa cheupeee...Serikali ipi sasa unayotaka ikusaidie wakati ndio hiyo hiyo inayoondoa mabanda...
😀
Sasa unacheka nini😅😅😅
Kwani ukimwimbia nyimbo Rais ndio sababu ya kuvunja Sheria?Msanii maarufu kwa jina la Gachi, ambaye aliwahi kuimba wimbo wa “Samia Tunamkubali, Mama Asemewe”, amelalamikia kuvunjwa kwa sehemu yake ya biashara mkoani Singida.
Kupitia malalamiko yake, Gachi amesema kuwa pamoja na wafanyabiashara kulipa kodi, bado wanakabiliwa na vitendo anavyodai kuwa ni vya manyanyaso na kuvunjwa kwa maeneo yao ya biashara.
Ameomba waandishi wa habari waliopo Singida kufika katika eneo hilo na kushuhudia hali ilivyo, huku akitoa wito kwa wananchi kuungana katika kudai haki na kusimamia maslahi ya wafanyabiashara wanaodai kuathiriwa na zoezi hilo.
Video hii akiwa anakata viuno jukwaani kwenye kampeni za CCM 2025
ni sawa kwa jamii ya kichawaSasa ukimuimba kiongozi ndiyo ruksa kutofuata utaratibu?..