Msanii Gachi aliyeimba wimbo wa “Samia Tunamkubali, Alalamikia Kuvunjwa kwa Biashara Yake Singida

Sisi Ccm tushakubaliana kua Mama anatosha
Huyu mbona anatuangusha?...... Au katumwa na Chauma kuja kumuhujuma Rais wetu mpendwa
Namalizia hivi
Mchagua hovyo
Asilalamike hovyo
Akitendewa hovyo
 
All in all, kanalika!
 
Tatizo vibanda vipo kwenye njia za maji taka

Kipindi ichi kuna operesheni kubwa kuweka njia za maji Salama
Wawe tu wapole kupisha
Janga la el Nino

Watafute sehemu Salama
Kufanya Biashara zao✍️
 
Atuluze kinyeo asitupigie kelele
 
Masikini ya Mungu unakuta mtaji wa biashara kafungulia pato la huo wimbo😃
Atunge wimbo kulilia kibanda chake simple!
 
Kwa hiyo alikuwa anakata viuno ili apewe upendeleo kwenye kuvunja sheria? Pumbavu kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…