Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,159
- 1,274
Kwa Sugu hata usipoenda aisaidii nenda show za magamba wenzako Kama kombajamani eti ni msanii gani hapa bongo wewe akifanya show ata bure hauendi kutazama..???
mimi binafsi siwezi enda kwenye show za Sugu na Roma ata iwe bure alafu niongezwe na pesa..
Kwa Sugu hata usipoenda aisaidii nenda show za magamba wenzako Kama komba
Hao uliowataja ndio majembe yenyewe ya ukwe'e,jamani eti ni msanii gani hapa bongo wewe akifanya show ata bure hauendi kutazama..???
mimi binafsi siwezi enda kwenye show za Sugu na Roma ata iwe bure alafu niongezwe na pesa..
Kwa Sugu hata usipoenda aisaidii nenda show za magamba wenzako Kama komba
Kwa Sugu hata usipoenda aisaidii nenda show za magamba wenzako Kama komba
Mkuu nilikuja Huku ili ni relax ban za Mara kwa Mara za kule kwenye jukwaa la siasa Bahati mbaya wewe hata chuki za kisiasa unaleta Hukumkuu sio kila sehemu unaleta siasa...ukijifanya wewe ndio unaipenda sana siasa kuliko ata mwanakijiji,utakufa siku sio zako...relax!!