Msanii gani akipiga show??

Msanii gani akipiga show??

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
1,159
Reaction score
1,274
jamani eti ni msanii gani hapa bongo wewe akifanya show ata bure hauendi kutazama..???

mimi binafsi siwezi enda kwenye show za Sugu na Roma ata iwe bure alafu niongezwe na pesa..
 
Show za Mabaga Fresh, Inspekta na TID hata niambiwe napewa urais wa Marekani baada ya kuhudhuria.
 
Diamond na ney wa mitego

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
jamani eti ni msanii gani hapa bongo wewe akifanya show ata bure hauendi kutazama..???

mimi binafsi siwezi enda kwenye show za Sugu na Roma ata iwe bure alafu niongezwe na pesa..
Kwa Sugu hata usipoenda aisaidii nenda show za magamba wenzako Kama komba
 
jamani eti ni msanii gani hapa bongo wewe akifanya show ata bure hauendi kutazama..???

mimi binafsi siwezi enda kwenye show za Sugu na Roma ata iwe bure alafu niongezwe na pesa..
Hao uliowataja ndio majembe yenyewe ya ukwe'e,
Sema tu huwakubali sababu wewe ni GAMBA ORIGINAL!!
 
wewe na kama wewe hamna effect kabisa wenzenu hawana hata taarifa kuhusu watu kama nyie na hawajawahi kupata hasara hata siku moja eti kisa hamkuenda...na hili wazo lenu ni kama unachukia dagaa wakati wavuvi wanazidi kuwavua
 
Mi kwakweli type za mziki kama wa kina bob junior na taarab hata uniue sikanyagi...
 
mkuu sio kila sehemu unaleta siasa...ukijifanya wewe ndio unaipenda sana siasa kuliko ata mwanakijiji,utakufa siku sio zako...relax!!
Mkuu nilikuja Huku ili ni relax ban za Mara kwa Mara za kule kwenye jukwaa la siasa Bahati mbaya wewe hata chuki za kisiasa unaleta Huku
 
Show za diamond,alikiba na wasanii akiwepo hata mmoja wa THT hata uniambie zile fedha za uswisi zote utanipa bado skanyagi
 
Show ya Barnaba hata bure au waniongeze ghorofa mbili na sheli siendi.
 
mimi nataja ambazo naweza hudhuria sugu,roma, jay,fid q, lakini wasanii wengine pamoja na baba riz sihudhurii labda nipewe benki na meli afu wakimaliza ku perform niwacharaze bakora ishiriniishirini
 
Back
Top Bottom