Msanii gani akipiga show??

Msanii gani akipiga show??

Show ya Komba na Hadija Kopa na Asha Baraka siendi!

Wala mechi ya Yanga siendi!
 
taarabu.,.. hata mnipe milioni mia
 
mimi nataja ambazo naweza hudhuria sugu,roma, jay,fid q, lakini wasanii wengine pamoja na baba riz sihudhurii labda nipewe benki na meli afu wakimaliza ku perform niwacharaze bakora ishiriniishirini

kwi! kwi! kwi!
 
Show ambayo ninaweza kwenda ni za Taarabu tu.
Kwani napenda Kuwaangalia akina 'Mchicha Mwiba' na Makalio ya Wanawake wenzangu wanapokata nyonga.
Lol!
 
basi mie nawe hatuwezi ishi hata dk 1...
 
Show ambayo ninaweza kwenda ni za Taarabu tu.
Kwani napenda Kuwaangalia akina 'Mchicha Mwiba' na Makalio ya Wanawake wenzangu wanapokata nyonga.
Lol!

Mh, Madame B we noma.
Yaani uangalie wanawake 'wenzako' wakikata nyonga? Is this normal?!
 
Show ya Komba na Hadija Kopa na Asha Baraka siendi!

Wala mechi ya Yanga siendi!

vipi yule mlugaluga anayeimba "pipoz pawaa" kwenye mikutano ya m4c anaitwa nani?
mbowe cjui kamuokota kijiji gani!!
 
Show ikifanyika dar live au ukumbi wowote wa temeke sihudhurii hata kwa kulipwa
 
Mwarab wa Dubai

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
nakwenda show za kanga moko tu nyigine zote pamoja na show za simba sports club sikanyagi
 
hahahahahah baba vx

Back
Top Bottom