Komba alikuwa smart ni udhalilishaji kumfananisha na hawa wabana pua,nyimbo za komba ukizisikiliza kwanzia ule mrindimo wa sauti yake inakufanya uwe makini zaidi kujua kinachoimbwa na ktk kusikiliza ndipo unapojua maana ya wimbo husika.
Zipo nyimbo bora za maombolezo za wakati wote kama “Kifo” Dk Remy,“Tutakukumbuka” Gk&TID, “Swahiba” wa yule dogo wa Temeke (ni marehem sasa) somebody DITO&Afande Sele,“Rufaa ya Kifo” Cosmas Chidumule&Marijani Rajabu hizi nyimbo hata uzisikilize mchana kutwa hazichoshi na zinafunza.