Msanii gani Bongo ungemshauri aachane na mziki?

Mzee Kiba kwa sbb wkt wa ufalme aliokuwa anautamani na kuuota, na mara kwa mara ku.demonstrate kwa kujaribu kufuta kiti vumbi na kukaa imeshindikana badala yake wamekaa vijana wadogo.
 
Country Boy huwa simuelewi kabisa yaani.... Pia wale video vixen wanaoimba huwa nao siwaelewi bora wajikite kwenye uvixen wao tu
 
Dudubaya a.k.a mamba, anajaribu kurudi but seriously, he ain't good like he was before
 
BABA LEVO

Zaidi ya kilele sioni anachokiimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…