unque bin unuq
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 350
- 456
Nilikuwa napenda kusikiliza ngoma za [HASHTAG]#songa[/HASHTAG] kipindi kile anasema kwamba anajua #hip_hop hajui lolote kuhusu bongoflevaKusema kweli kuna haka ka dada kanaitwa "Pink".....duh!!!! Mimi ningekashauri kaachane na muziki kabisa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mbona wamejaa damu kama dr manyaunyau?
Ametekwa na Jimama, pesa zikiisha atatoka mafichoniSnura chura
Ivi manfongo kapotelea wapi, maana alikuja kwa mbwembwe
Anangoma mpya, tamu kiasi nimeisikia leo redioni, sauti haina bwimbwi kabisa, naturalRay C, aache tu maana si yule wa kipind kile despite her countless efforts to hit lkn wp
Mbona kama mmoja alikua anamsukumia mwenzake desh desh
Lulu diva
Hii picha walipata majanga gani hawa jamaa
Wijifanya Mastaa mbele ya polisi..Hii picha walipata majanga gani hawa jamaa
Ben Paul maana kaanza tabia mbaya