ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mangwea.Nitajie wasanii bongo ambao hujawahi kuwaelewa yaani hata show yake ije na uambiwe uende unapewa posho ya 5000 na kiingilio bure wewe bado hutaenda kwa sababu hawana kipaji wamebebwa Tu na upepo..
Mimi ambao siwakubali JAPO kuna baadhi ya hits wametoa nzuri
1.tunda man
2.ney wa mitego
3.dogo janja
Mimi kama nipo karibu na ukumbi wanakofanyia show na sina michongo mingine nitaenda ili kuchukua hiyo 5000 kama inagaiwa mara tu ukiingia ndani, kisha show ikishaanza natoka nje kama vile nina dharula na ndio hawanioni tena. Ila kama itakuwa inagaiwa mwisho wa show, basi sitaenda kabisa.Nitajie wasanii bongo ambao hujawahi kuwaelewa yaani hata show yake ije na uambiwe uende unapewa posho ya 5000 na kiingilio bure wewe bado hutaenda kwa sababu hawana kipaji wamebebwa Tu na upepo..
Mimi ambao siwakubali JAPO kuna baadhi ya hits wametoa nzuri
1.tunda man
2.ney wa mitego
3.dogo janja