Msanii gani hauchoki kutazama movie zake

Msanii gani hauchoki kutazama movie zake

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
1618841342348.png
 
Mimi kwangu ni wasanii maana hawa jamaa hawakosei.

Tom cruise
Robert Downey Jr
Dwayne Johnson the rock
Ryan Reynolds
Samuel Jackson
Jach chan
Keanu reeves

Wa mwisho kabisa ni will smith.
 
Mimi kwangu ni wasanii maana hawa jamaa hawakosei.

Tom cruise
Robert Downey Jr
Dwayne Johnson the rock
Ryan Reynolds
Samuel Jackson
Jach chan
Keanu reeves

Wa mwisho kabisa ni will smith.
Umeambiwa one actor wewe unatuandikia gazeti.....huko shuleni ulienda kusomea ujinga? Cc: FaizaFoxy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha wewe kushindwa kuelewa nilichoandika ni sababu tosha ya wewe mwenyewe kujiuliza kama huko shule ulienda kusomea ujinga.

Alafu sijaandika ili nifurahishe wajinga fulani acha utoto.

Chochote with Ryan Reynolds siulizi naangalia maana yule jamaaa ni chizi aisee haaf savage hahaha
 
Mimi kwangu ni wasanii maana hawa jamaa hawakosei.

Tom cruise
Robert Downey Jr
Dwayne Johnson the rock
Ryan Reynolds
Samuel Jackson
Jach chan
Keanu reeves

Wa mwisho kabisa ni will smith.
Wa mwisho hapo will smith duu jamaa namkubali sana movie zake, ukija na Eddie Murphy,
 
Chochote with Ryan Reynolds siulizi naangalia maana yule jamaaa ni chizi aisee haaf savage hahaha
Hivi kuna hii movie yake moja sijui ndo inatoka mwezi gani? Mr guy sijui ndo inaitwa hivyo, hivi inahusu nini?
 
Eeeh wasanii wa movie wapo wengi wakali Sana hila kila mmoja ana ladha yake
1:Chidwick Boseman
2:usher Raymond
3: will Smith
4:Jamie Fox
5:Michael J. Jordan
6: Denzel Washington
7:Ze Rock
8: TOM jaaa
9:statam
10: boika
For me hao ndo best kwangu.
 
Eeeh wasanii wa movie wapo wengi wakali Sana hila kila mmoja ana ladha yake
1:Chidwick Boseman
2:usher Raymond
3: will Smith
4:Jamie Fox
5:Michael J. Jordan
6: Denzel Washington
7:Ze Rock
8: TOM jaaa
9:statam
10: boika
For me hao ndo best kwangu.

Okay.., this is painful to read but
Ni Michael B Jordan na Ni Tony sio Tom na ni Statham sio statam na ni Scott Adkins ndio Boyka ambalo jina la charcter wa ile Movie Undisputed haaf sio Chidwick watakufungulia lawsuit umeharibu majina yao[emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom