Msanii gani hauchoki kutazama movie zake

Msanii gani hauchoki kutazama movie zake

Okay.., this is painful to read but
Ni Michael B Jordan na Ni Tony sio Tom na ni Statham sio statam na ni Scott Adkins ndio Boyka ambalo jina la charcter wa ile Movie Undisputed haaf sio Chidwick watakufungulia lawsuit umeharibu majina yao[emoji2][emoji2]
Ahahaha asnte sana bhna ubarikiwe mkali nakubali Sana shukrani unajua movie niliacha kucheki muda Sana Sasa spelling waga nikichaa kukumbuka
 
Naomba niweke wanne

Matt Damon
Jean Reno
Idriss Elba
Martin Lawrence
 
Denzel Washington

Michale Ealy

Regina Hall (sijui na wadada wanaruhusiwa?)
 
IMG_0625.jpg

Munamfaham huyu mwamba? Niliamza kumkubali kwenye Jason’s lyrics
 
Back
Top Bottom