Ahahaha asnte sana bhna ubarikiwe mkali nakubali Sana shukrani unajua movie niliacha kucheki muda Sana Sasa spelling waga nikichaa kukumbukaOkay.., this is painful to read but
Ni Michael B Jordan na Ni Tony sio Tom na ni Statham sio statam na ni Scott Adkins ndio Boyka ambalo jina la charcter wa ile Movie Undisputed haaf sio Chidwick watakufungulia lawsuit umeharibu majina yao[emoji2][emoji2]
Wote nyie hamna kitu, mkali kuliko wote Amber RuttyNaomba niweke wanne
Matt Damon
Jean Reno
Idriss Elba
Martin Lawrence
Anaitwa Bookem Woodbine..muangalie kwenye movie ya Fifth Commandment..View attachment 1775338
Munamfaham huyu mwamba? Niliamza kumkubali kwenye Jason’s lyrics