Msanii gani kufunika fiesta 2018?

Mkuu umeongea vema kabsa
 
jmampb.gtmg namtabiria atafanya poa zaidi.
 
Ahahahahahahahhahaha Maua sama mkuu acha utani na mawingu
 
Ni kweli kuwa social network ina nguvyu kuliko radio na tv ila tazama pia ni nani ana sauti kwa wasanii kati ya WCB NA CMG. Hivi kuna msanii yupo tayari kuzinguana na CMG kwa kutegemea msaada wa WCB? Okay labda ikatokea siku kukawa na viwanja viwili huku WCB wanapiga show halafu kule CMG wanapiga show, wasanii watamiminika upande gani?
 
Mbona sugu alijaza sana kuliko CMG au umesahau mkuu
 
Kusoma hujui hata picha huoni hits songs za mwaka huu WCB wametawala kwa 70%(fb, instagram, YouTube, iTunes Kenya, Boomplay, kideboy nk huko kote wanatrend wao) ,kwa hiyo WCB wao wenyewe wanauwezo wa kujaza kiwanja bila msanii yoyote yule (refer wasafi festival Iringa mwaka juzi). Mwanzo wa beef la WCB na CMG, wasanii walikuwa wanaisusa WCB kwa kuwaogopa CMG , lkn sasa hivi Ben pol, Dully Sykes wamepiga collabo na Harmonize, juzi Jux na Ben pol walikuwa ktk final za Jibebe Challenge na kama haitoshi birthday ya Romy Young Dee na Giggy walikuwa ktk party ya WCB na kama hiyo haitoshi week iliyopita Romyjones ametoa nyimbo ndani ameshirikishwa Country Boy, kwa kifupi CMG inapoteza ule ubabe wake, sio kama zamani na bado wengi sana wata hang out na WCB, wasanii wamechoka kupiga show zisizokuwa na hela, kwani CMG inatengeneza mastaa masikini wenye majina makubwa kwa kigezo cha promo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…