Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Fiesta imeanza2001 wasafi wameanza lini...!!Clouds tabia yao ya kuwekeana mabeef na wasanii itawacost sana na unafki wao kujidai wanampandisha msanii chart ili wamtumie vizuri kwenye Fiesta kama walivyoanza kwa Maua Sama. Fiesta ingekuwa tamu sana kama wangekua na mahusiano mazuri na WCB, lakini ndo hivyo tena.
Na wanafanya vzr tuuu!!!!!