Msanii gani mkali unadhani hapewi nafasi?

Msanii gani mkali unadhani hapewi nafasi?

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Heshima kwenu wana jamvi,

Leo nimeona nije na hili. Katika kufanya uchunguzi wangu nimegundua kuna wasanii wazuri na wakali sana hapa nchini ila hawajapewa heshima yao.

Hii ni orodha ya wasanii naowakubali:

-Linex
-Jay melody
-Marissa
-Karen
-Tommy flavour
-Salmin Swagg.Nk

Orodha ni kubwa unaweza kuongeza nlowaacha.
 
Back
Top Bottom