Msanii gani Tanzania yupo zaidi ya Marioo?

Msanii gani Tanzania yupo zaidi ya Marioo?

choza choza

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
2,081
Reaction score
3,831
Hivi kwa sasa kuna msanii yupo juu kuliko Marioo? Sasa hivi hata nyimbo anazoshirikishwa zina sound kama za kwake. Mfano;
  • Baby nakuja
  • Ananipenda
NB: Fall ya Nandy naiona itakua poa zaidi akimshirikisha Mario Remix.
 
Zuwena ni zile nyimbo zinazopata sifa isiyostahili na kupotea kwa muda mfupi, naifananisha na lissa ya Rapcha, zinadumu muda mfupi sana
 
Nawakubali wasanii wote ( kasoro mbosso) ila kwa sasa Marioo kila anachofanya kinageuka dhahabu
We marioo acha makasiriko ww, mwenzako mbosso keshaachia dude huko la "sitaki". Vp umejipangaje kumjibu? Maana ndo zako hizo
 
Wasanii wengi nyimbo zao hazivuki sababu ya kujiremba sana kama wanawake
 
Back
Top Bottom