Msanii gani Tanzania yupo zaidi ya Marioo?

Msanii gani Tanzania yupo zaidi ya Marioo?

Ukimtoa Diamond Hakuna msanii mwingine anayeweza kufikia hata robo ya Harmonize.

Wimbo wa naogopa ulikuwa wa Marioo lakini kajamaa kalifunikwa vibaya Sana na Harmonize.
Ule ulikua unyanyasi wa kijinsia [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom