Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasanii wengi nyimbo zao hazivuki sababu ya kujiremba sana kama wanawake
Wana jambo lao.Ni kama wanaoacha kifua wazi
Kausikilize vizuri kisha urudi tenaUkimtoa Diamond Hakuna msanii mwingine anayeweza kufikia hata robo ya Harmonize.
Wimbo wa naogopa ulikuwa wa Marioo lakini kajamaa kalifunikwa vibaya Sana na Harmonize.
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa Marioo tumekusikia... Lipia tangazo
Ule ulikua unyanyasi wa kijinsia [emoji16][emoji16][emoji16]Ukimtoa Diamond Hakuna msanii mwingine anayeweza kufikia hata robo ya Harmonize.
Wimbo wa naogopa ulikuwa wa Marioo lakini kajamaa kalifunikwa vibaya Sana na Harmonize.
Dogo kila anachofanya kinakubali, mdogo mdogo jmelody naye anapandaMarioo yupo kwenye peak yake aisee. Apewe maua yake.