Msanii gani wa kikongo ungependa aje kupiga show ya nguvu Tanzania

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Hua nashangaa sana ni kwamba Tanzania kwenye upande wa burudani watu ni wapenzi sana wa mziki wa magharibi kuliko wa kiafrika...muda sana sijasikia wasanii haswa wa kongo wakija kupiga show za nguvu hapa kwetu, tangu Fally Ipupa N'simba a.k.a Dicap la merveille, a.k.a El pibe de oro, a.k.a El Maravilloso, a.k.a 3x Hustler, a.k.a El Rey Mago, a.k.a Champions love, kuja bongo sijaona msanii mwingine wa kongo ... sitaki kabisa kumzungmzia Koffi Olomide maana alikuja kimashauzi sana na kupiga ngoma moja tu ya Selfie ..

Nmeona live concerts za Hervé NGola Bataringe a.k.a Ferre Gola na akina Cindy yani unainjoi...basi bajitokeze batu bazamini baletee sisi bapenzi ba muziki ba kongo.




 
zari aliamsha dude mlimani city. team mobeto wameza kutu (rust)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…