Msanii gani wa kikongo ungependa aje kupiga show ya nguvu Tanzania

JB Mpiana hajawahi kuwa na Mwimbaji aitwae ' Mpera ' bali alikuwa na mwimbaji wake ' Kipenzi ' aitwae Alain Mpela ' Afande '. Kuhusu JB Mpiana kutoa Nyimbo mpya na ndiyo maana nilikuambia mapema tu kwamba ' tuliza mshono ' kwani huna unachokijua kuhusu Mwanamuziki Kipenzi changu JB Mpiana na Bendi yangu Pendwa ya Wenge Musica BCBG. Album mpya kabisa ya JB Mpiana na Kundi lake zima la Wenge Musica BCBG inaitwa ' Balle De Match ' ambapo humo kamtambulisha ' Rapa ' mpya kabisa na anayekuja kwa Kasi aitwae Fusee De Geirre ambaye amekuja kuziba nafasi ya yule Rapa Marehemu Faustin Nzinga Yankobo a.k.a CELLULAIRE Mokili Mobimba. Itafute hiyo Album halafu usikie ' Chemistry ' nzima ya ' Marapa ' akina GENTAMYCINE na Fusee De Geirre uone balaa lake huku katika Solo Gitaa akisimama mwenyewe safari hii Mitre Ficarre Mwamba na katika Rythm Gitaa akiwemo Kijana mpya kabisa aitwae Zygal na kama kawaida katika drums / chips yupo mwenyewe ' Mtaalam ' Seguen Mignon Maniata Ikuzu huku kule katika Vinanda kama kawaida wakiwepo ' Mafundi ' wale wale akina Geremi Kitubu na Cedric Gezeula na katika Ngoma za Tumba akiwemo Kijana mpya aitwae Zullu Mbonda na katika Bass Gitaa akiwepo yule yule Sunda Bass Le Pro.

Mkuu achana kabisa na Wenge Musica BCBG ya mwenyewe JB Mpiana kwani ni moto wa kuotea mbali tena sana au mno tu.
Hahaha hapa ndo napokukubali brother
 
Hahaha hapa ndo napokukubali brother

Pamoja Mkuu. Hawa Vijana wa jana wanajifanya kuijua Wenge Musica BCBG na JB Mpiana kuliko hata Sisi ' Bana Wenge Halisi / Kindakindaki ' wenyewe hivyo ngoja leo niwape ' data ' zaidi za Wenge Musica BCBG na JB Mpiana ili siku zingine waje humu na ' adabu ' zao zote.
 
Akhsante sana na Shukran Mkuu. Katika vitu ambavyo hata ukinishtukiza usiku uniulize au utake ufafanuzi wake ' murua ' kabisa na wa uhakika basi ni wa kuihusu hiyo Bendi ya Wenge Musica BCBG na Rais wake JB Mpiana kwani nimeanza kuipenda hiyo Bendi tokea mwaka 1993 ikiitwa Wenge Musica 4 X 4 ' Les Anges Adourables ' hadi sasa na naifutilia pengine hata kuliko ninavyofuatilia ' Rasilimali ' za Tanzania zinavyoibiwa na kutoroshwa na Wajanja / Mafisadi.
Mimi nimenza kuvutiwa na mziki wa Kongo,lakini wanamuziki walionivutia zaidi ni Ferre Gola na Fally Ippupa, sasa ngoja ni msikilize na mtu mzima JB Mpiana. Lakini mziki ninaoupenda mimk zaidi ni ile ya taratibu. Mziki mzito na melody ya kuvutia sijui hivyo vitu vipo kwa JB?
 
Be
Humjui JB Mpiana Mkuu hivyo tuliza tu huo ' mshono ' tafadhali. Kama mpaka leo hakuna Mwanamuziki yoyote yule wa Congo DR kuanzia wale ' Manguli ' akina Koffi na Werrason achilia mbali hawa akina Fally na Ferre ambao wameweza kuvunja rekodi ya JB Mpiana kwa ' Kutapisha ' Kumbi Kubwa za ' Miziki ' ya Kikongo duniani kama za Zenith, Bercy, Olympia zote za Ulaya huko Ufaransa na Ubelgiji na huu wa Bandal jijini Luanda nchini Angola leo hii utasemaje JB Mpiana wa miaka ile siyo wa leo? Shika adabu yako tafadhali. Hakuna kama JB Mpiana na Wenge Musica BCBG Congo DR na ukitaka ' ladha ' na ' burudani ' tosha ya muziki wa ' live ' Wenge Musica BCBG ya JB Mpiana haina mfano na hili halina ubishi labda uwe tu na Hila / Ngendembwe zako tu.
Unazungumzia show za miaka kumi iliyopita, kwa sasa JB ni mahili
JB Mpiana hajawahi kuwa na Mwimbaji aitwae ' Mpera ' bali alikuwa na mwimbaji wake ' Kipenzi ' aitwae Alain Mpela ' Afande '. Kuhusu JB Mpiana kutoa Nyimbo mpya na ndiyo maana nilikuambia mapema tu kwamba ' tuliza mshono ' kwani huna unachokijua kuhusu Mwanamuziki Kipenzi changu JB Mpiana na Bendi yangu Pendwa ya Wenge Musica BCBG. Album mpya kabisa ya JB Mpiana na Kundi lake zima la Wenge Musica BCBG inaitwa ' Balle De Match ' ambapo humo kamtambulisha ' Rapa ' mpya kabisa na anayekuja kwa Kasi aitwae Fusee De Geirre ambaye amekuja kuziba nafasi ya yule Rapa Marehemu Faustin Nzinga Yankobo a.k.a CELLULAIRE Mokili Mobimba. Itafute hiyo Album halafu usikie ' Chemistry ' nzima ya ' Marapa ' akina GENTAMYCINE na Fusee De Geirre uone balaa lake huku katika Solo Gitaa akisimama mwenyewe safari hii Mitre Ficarre Mwamba na katika Rythm Gitaa akiwemo Kijana mpya kabisa aitwae Zygal na kama kawaida katika drums / chips yupo mwenyewe ' Mtaalam ' Seguen Mignon Maniata Ikuzu huku kule katika Vinanda kama kawaida wakiwepo ' Mafundi ' wale wale akina Geremi Kitubu na Cedric Gezeula na katika Ngoma za Tumba akiwemo Kijana mpya aitwae Zullu Mbonda na katika Bass Gitaa akiwepo yule yule Sunda Bass Le Pro.

Mkuu achana kabisa na Wenge Musica BCBG ya mwenyewe JB Mpiana kwani ni moto wa kuotea mbali tena sana au mno tu.
we kweli nduza!...hiyo album unayosema mpya ineanza kuzungumziwa miaka zaidi ya mitano iliyopita,...JB alkuwa bora zamani, JB wa sasa siyo yulee wa miaka ile....mimi pia nilikua shabiki wake kipindi hicho maana alikuwa anapiga mziki mzuri...wewe baada ya kupenda muziki mzuri unamoenda mtu hata kama anapiga muziki wa hovyo....
 
NENE TCHAKU TCHAKU na DALY NDALA KIMOKO
t60206334-b204754337_s400.jpg

50553_168541396512373_6859646_n.jpg
 
Be

Unazungumzia show za miaka kumi iliyopita, kwa sasa JB ni mahili

we kweli nduza!...hiyo album unayosema mpya ineanza kuzungumziwa miaka zaidi ya mitano iliyopita,...JB alkuwa bora zamani, JB wa sasa siyo yulee wa miaka ile....mimi pia nilikua shabiki wake kipindi hicho maana alikuwa anapiga mziki mzuri...wewe baada ya kupenda muziki mzuri unamoenda mtu hata kama anapiga muziki wa hovyo....

Hopeless Creature.
 
Back
Top Bottom