Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam wanajamvi
Msanii Gigy Money hivi karibuni amekuwa akionekana kwenye media ya msanii Diamond Platinumz akifanya shughuli fulani ambayo mwanzo ilionekana kama ni serious lakini imekuja kujulikana ni shughuli ambayo amepewa aifanye maana walio mpa walio anaweza kuimudu vizuri
Msanii Gigy amekuwa akizunguka kwenye vipindi mbali mbali vya wasafi media akiporomosha matusi na kumvua nguo msanii mwenzie
Baada ya utafiti imesemekana kuwa shughuli anyoifanya Gigy money siyo ya bure ina malipo na haitokwisha leo mpaka lengo litimie.
Msanii Gigy money atatumiwa kuvujisha video na maongezi ya msanii mwenzie na walio mtuma wanajua kabisa anaweza na wamempa na vitendea kazi na lengo kuhakisha Msanii husika anachafuka vilivyo
Muziki wa Tanzania ndipo ulipofikia maana njia ya kupambana na msanii mwenzio ni kuhakikisha ana chafuka
Maswali ambyo yamekuwa yakiulizwa
> Je, hadi sasa Gigy amemudu kazi aliyotumwa afanye dhidi ya msanii mwenzie?
> Wasafi FM na Wasafi TV huu ujinga wanao upromote ni kwa faida ya nani?
> Je, ataweza kufanikisha mpango huo?
> Wanao mtuma wanahitaji nini?
> Wanao mtuma kwanini wasitumie muziki kupambana na muhusika kuliko kumtumia Gigy Money?
> Wakimaliza kumtumia Gigy Money wamtupa kama toilet paper?
> Atumiwe konki master ndio ataiweza?
Wasalaam