Tetesi: Msanii Gigy Money atafanikisha kazi aliyotumwa? Anaiweza? Atumiwe Konki Master (Dudu Baya)? Tujiandae kuona video?

Internationally kwa wasanii wa kike Vee Money amejibrand sana sidhani kama kwa sasa atatokea msanii wa kike wa kumfikia,ukiangalia hata aina ya mziki wa zuchu hauwezi kwenda kimataifa ila kwa market ya ndani atatrend kutokana na mazingira halisi na promo za wcb.

Halafu Zuchu bado kumfikia Nandy ,mziki wa zuchu ni kutegemea upepo na nguvu nyingi kumkuza wakati nandy anafanya mziki kwa kurelax na anahit ,zuchu na wcb wana presha ya kuhakikisha wimbo anaotoa zuchu utrend,sasa huwezi kushindana ukiwa na presha wakati mwenzako amerelax hana presha
 

Nandy kajitahidi kubaki kwenye peak maana wengi walidhani atashuka baada ya ruge kufariki lakini anafanya kazi sanaaa

Kingine sijui kwa nini wabongo hatuwezi wapa watu wengi chance ya kukaa katika peak yaani tunaamini lazma mmoja apande ili mwingine ashuke
 
Mkuu mashabiki hawana shida,shida ipo kwenye media,media zinashusha na kumpandisha msanii,media flani wanafanya figisu msanii wa upande mwingine asisikike ili wao wapate madili makubwa,matamasha na ubalozi wa makampuni.

Kwa bongo mi nawapenda wasanii ambao hawaegemei kwenye media flani wao kila upande wako friendly,wanasikika potepote na interviews wanafanya potepote hamna team flani wala flani.
Mziki wa sasa hivi umekuwa mgumu kwasababu media zina wasanii wao na kutoka mpaka msanii awe timu flani,na pia connections za hizo timu kuingia huko ni ngumu pia
 
Wewe tena na WCB ningeshangaa ungeongea tofauti.
 
Huwa nawashangaa Sana wanaomshabikia nandy , kiufupi nandy ni kopo hamna kitu pale , utunzi zero , ngoma Bora aliyoimba nimekuja kugundua kumbe alitungiwa na mwenzake pale THT, Diamond hakuona value yyte kwake thus why hakumtoa , true talent ni Maua sama , ndo kipaji chenye ubongo active , kuhusu Zuchu siwez sema yupo overated, normal or underated , nampa miaka miwili Kwanza ya kuwa active kwenye game , japo nilichonote kwake mpak sa hv ni uwezo mkubwa wa kunyumbulika na aina ya wimbo , na anahtaj guidance ili aperform better .....


Kuhusu fitina , wivu na majungu ni sehemu ya maisha katika ulimwengu huu wa dhambi , you should fight for na sio kuomba excuse au kurun out , kama nandy ana kipaji kwel bas azihirishe umwamba kwa kufight na Zuchu , kwan yeye nandy yupo under highly experienced intertainment media na Zuchu yupo under WCB , so still battle ni fair ......

Ila nachojua Nandy hamna kitu Bora hata Maua sama
 
Soma nilicho andika...Gigy ametumwa kufanya kazi na anaifanya vyema! Jiulize kazi hiyo anaifanyia wapi? Ni nini dhumuni? Hivi kwani wasanii wote hawawezi fanikiwa mpaka mwingine abwagwe?
Juzi tu hapa Gigy alimponda WCB na Diamond kuto kuhudhuria Birthday yake,ina maana nae alitumwa na Nandy au CMG?
 

Hayo mambo ya wasanii kuwa wa media flani sio ya juzi au ya jana lakini mindset za mmoja ashuke ili mwingine apande ndo zipo sana

Angalia case ya kanumba au mzee Yusuph. Nini kilitokea baada ya hao watu kupotea

Hivi vitu ni vibaya ndo maana hata muziki haufiki mbali, angalia nigeria tu kwa wasanii wa kike tena international acts kuna tiwa, Yemi, Simi , sey shei na wengine kibao

Rudi hapa bongo, watu wanaona zuchu akikua kwenye lane yake hatofika mbali hadi awashushe vanessa na nandy, huu ni upuuzi
 
Culture Me Babeeeh no hiviii giggy ana slay huko kweny wasafi media kumu attack Nandy, bila 7but za msingi, na anajitapa kuwa km Nandy mjanja basi arudishe mashambulizi atatoa files zake zotee, but Nandy hamjibu yupo tyuuh bizze na life lake.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Puliiiiiiiiiiz usimfananishe Vee na huyo muimba taarabu uchwara kwa kufuata mkumbo wa mama yake, aishie kupambwa hapooh wasafi baaaas.
 
Kwa Vanessa hawezi na hata Domokaya anajua hilo kuwa Zuchu hawezi fika hata iwe miaka buku, alipo Vanessa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Muimbaji taarabu Jumamosi ijayo anaisimamsha nchi na kuandika history, ndio utajua chuki umuumiza anaeziifadhi.
Unachekeshaaaaa sanaaa wee kiumbee, kwahyo huyo Zuchu kuperform hapo mliman city, ndo awe level 1 na vee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli WCB n mazumbukuku khaaaaah.
 
Mziki wa bongo ndo ulivyo,kushushana na wenye nguvu ndo watakaobaki kwenye pick,lakini wenzetu ukiangalia msanii mpya anaweza akachipukia na wimbo mmoja ukamweka kwenye ramani na anatoka,lakini u-team wa bongo unaua vipaji maana wanaosikika kwenye media ni walewale hata mpya akijitokeza mziki wake hauwezi kutrend baadaye anaona haulipi,media ingebalance wasanii wote wangekuwa kwenye pick kama zamani,nakumbuka enzi za P-Funk Majani wasanii wote walikuwa wanaenda kwa pamoja na mashabiki wanaangalia wimbo mzuri,ila leo wasanii ambao wako kwenye pick hawafiki hata 10
 

Hata mimi nimejuliza hili swali na wengi walikuwa wakitoa lawama kwa Ruge lakini ukweli unaanza kuonekana kuwa watu wengi ni zaidi ya Ruge na pengine walikuwa wana msingizia lakini wao sasa wanafanya yale walio kuwa wana msingizia Ruge!

Watu wanafikiri Nandy akianguka ndio msanii wanao muhitaji atapata nafasi huu ni ujinga!
 
Kama nandi ni kopo hamna kitu basi we uko biased,mambo ya kutungiwa nyimbo ni kawaida kwa wasanii wakubwa nandy huwezi kumfananisha na zuchu,nandy yupo juu kimziki na anajitegemea hayupo chini ya lebel ,bila wcb we ulikuwa unamjua zuchu ?
Hebu lete hits za zuchu na nandy nani yupo kwenye ramani,ongea facts na usichambue kimahaba
 

Kama Nandy ni kopo lazima ujue kuna makopo mengi kwenye muziki wetu!

Hatuwezi kuyashusha hayo makopo kwa kutuma watu wayatukane inabidi tuyaache yajifie yenyewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…