Tetesi: Msanii Gigy Money atafanikisha kazi aliyotumwa? Anaiweza? Atumiwe Konki Master (Dudu Baya)? Tujiandae kuona video?

Siyo chuki wala,nye watu ambao hawaegemei upande wowote mnawaona kama wana chuki,mi sina uteam yoyote nasema nachoona
Hiv una amini kweli kwa akili yako timamu bila chuki wasafi wanamtumia gigy money eti kwa nandy?
 
Siyo chuki wala,nye watu ambao hawaegemei upande wowote mnawaona kama wana chuki,mi sina uteam yoyote nasema nachoona
Jitu linakwambia hakina chuki wakati huo huo jambo lolote linahusu wcb lazima achangie kwa kuiponda wcb, uchawi kuuficha ni kazi kubwa.
 
we ndio unaropoka. Swala sio kumdai, swala ni mgogoro. Man water alipokuwa anadai fedha mbele ya media huoni kama alimchafua Kiba mbele ya jamii kama anavyofanya huyu gigy money????
Sasa yule alienda paleeh kwa matakwa yake, na alikua anaongelea haki yake haijalishi km alikuwa ana haribu image ya kiba,
sasa huyu giggy ana slay huko usafini kumu attack Nandy kwa kipi? Hebu kuwa muelewa wee sitaki kubishan hapa msieeeeeeeew.
 
Ni migogoro miwili tofauti wala haihusiani, man water alienda pale kuzungumzia upatikanaji wa haki yake kutok kwa kiba japo ilikuwa vibaya ki taswira kweny carrier ya kiba, but ilikuwa halali ya man water.
Sas huyu giggy anavo mu attack Nandy kwa kipi? Hebu jaribu kuwa muelewa alaaaaaaah
 
Hakuna msanii wa kike aliyewai kufanya show classic na expensive kama yeye.

Inampa profile kubwa.
Mungu wangu tobaaaaaaaah, heeeewh kumbe wee hujui kityuuh vee kaperform hadi jukwaa kuu la wasanii wakubwa kwa upande wa Africa kule [emoji631], na kafany show kubwa nyingi za nje. Uliza uambiwe Rotimiii alimpatia wapi? Hebu usinitibue saivi mxieeeeeeeeew, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We kiazi ndio umeaandika nn[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…