TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Ishu ya kupiwa Chini na demu haiwezi kuwa sababu kuu japo inaweza changia kwa kiasi chake.. Angepigwa chini na bado mziki ukaendelea kumlipa sidhani kama angepata Mawenge na Depression kiasi cha kusababisha kifo...!!

Mnamtupia lawama sana huyo demu wake lakini Mnasahau sio yeye tu ndo aliachwaa... Watu wanasomeshaga demu mpaka Chuo kikuu mwisho wa siku wanaachwa lakini wanapiga moyo konde na kusonga mbele..

Maumivu ya mapenzi ni makali lakini huwa hayakai milele never...! Tena zilla hip hop kabisa yulee hapana aisee...

1683707142381.jpeg
 
Wakuu e!
hivi vifo Vya kuamka umekufa sio Astral projection kweli


All in all rest in peace Zilla
 
Kama utani, Zilla umezimika ghafla. Mwanga wa milele ukuangazie
 
GODZILLA FT CLIFF MITINDO___CLOSER[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]



Rest Easy Zizi[emoji119]
 
Back
Top Bottom