Msanii H Baba: Mwaka huu ( 2022 ) Timu Moja kutoka Afrika ( Senegal ) inaenda Kutwaa Kombe la Dunia nchini Qatar

Msanii H Baba: Mwaka huu ( 2022 ) Timu Moja kutoka Afrika ( Senegal ) inaenda Kutwaa Kombe la Dunia nchini Qatar

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Bange / Bangi mbaya sana na hasa hasa ikitokea ukiwa Unaivuta halafu Kiasili huna Akili Kichwani.

Taratibu sasa nami GENTAMYCINE naanza Kuiamini ile Ripoti kuwa kwa sasa nchini Tanzania Wendawazimu ( Wagonjwa wa Akili ) wako takribani Milioni Saba ( 7 )

Halafu Watu ( Mamlaka ) ya DCEA ( Wadhibiti wa Matumizi ya Dawa za Kulevya ) nchini hebu fanyeni Kazi yenu sawa sawa kwani inaonyesha kwa sasa Tatizo linaongezeka kama siyo Kuzidi.

Yaani Wazungu ambao Wanatudharau na Hawatupendi kabisa Waafrika leo hii wakuache Uchukue ( Ubebe ) Kombe lao ambalo muda wote linalala Kwao huko Jijini Zurich na Wewe unaletewa Replica huku Afrika Ili upige nalo Picha ukatambie Kijiweni wakuache ulibebe kabisa!!!!!!!
 
Ngoja tuone ikiwa kweli ile kauli ya Nabii/Mfalme Suleiman kuwa "uzima na umauti upo katika uweza wa ulimi wa Mtu mwenyewe na wautumiao vyema hufaidi matunda yake" itathibitika au haitathibitika...[emoji847]
 
Bangi c mbayaa ila baadhi ya watumiaji akili zao ndio mbayaaa.....
 
Ikitokea kukawa na muujiza, basi timu moja kutoka Africa ndio itafika robo fainali. Nimesema ikitokea muujiza!

This time, kombe linaenda America ya kusini. Sina uhakika kama ni Brazil au Argentina, ila ni mmoja kati yao!
 
Back
Top Bottom