GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Bange / Bangi mbaya sana na hasa hasa ikitokea ukiwa Unaivuta halafu Kiasili huna Akili Kichwani.
Taratibu sasa nami GENTAMYCINE naanza Kuiamini ile Ripoti kuwa kwa sasa nchini Tanzania Wendawazimu ( Wagonjwa wa Akili ) wako takribani Milioni Saba ( 7 )
Halafu Watu ( Mamlaka ) ya DCEA ( Wadhibiti wa Matumizi ya Dawa za Kulevya ) nchini hebu fanyeni Kazi yenu sawa sawa kwani inaonyesha kwa sasa Tatizo linaongezeka kama siyo Kuzidi.
Yaani Wazungu ambao Wanatudharau na Hawatupendi kabisa Waafrika leo hii wakuache Uchukue ( Ubebe ) Kombe lao ambalo muda wote linalala Kwao huko Jijini Zurich na Wewe unaletewa Replica huku Afrika Ili upige nalo Picha ukatambie Kijiweni wakuache ulibebe kabisa!!!!!!!