kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Wasalaam wana jamvi..
Wana jamvi ni wazi Duniani kuna vituko vingi lakini kwenye hivi vituko hatuwezi kuisahau tanzania kabisa! Lakini hivi karibuni msanii wa kizazi kipya H.baba baada ya kukosa Tunzo za KTMA hasa pale alipopambambanishwa na Diamond na kukosa Tunzo! Msanii H.Baba alisema wazi kabisa Diamond hakustahili bali yeye ndio alistahili hivyo akaona bora ajitoe kabisa na akasema hata kusikia kabisa hizo Tunzo!
Hivi karibuni Msanii H.baba aliibika na kituko cha aina yake ninachokifananisha na mtu ambaye aliyejitungia mtihani wa hesabu na kuusolve mwenyewe halafu anajisahishia kisa anajipongeza!
Msanii H.baba hivi karibuni aliibuka na Tunzo zake alizo ziita 'Tunzo za familia'. Katika hizo tunzo msanii H.baba alijipa yeye tunzo, mke wake na mtoto wake! Kwenye hizo tunzo aliwaalika wageni wa kutoa tunzo ili waikabidhi familia yake pamoja na yeye!
Kitendo chake hiki kilichukuliwa na wengi ni kuchanganyikiwa baada ya kukosa Tunzo za Kill!
Karibuni wana jamvi!
Karibuni! H baba na familia yake wakikabidhiwa tunzo.
Sijakuelewa kajizawadia TUNZO au TUZO? Inawezekana hujamuelewa na unakosea kumtoa akili.Kama ni TUNZO Hiyo itakua kitu kipya mi sioni tatizo lkn ingekua TUZO hata mi ningeshangaa!!..#kiswahili kigumu#