Msanii H. Baba na Tuzo za familia, huku ni kuchanganyikiwa?

Msanii H. Baba na Tuzo za familia, huku ni kuchanganyikiwa?

Wasalaam wana jamvi..

Wana jamvi ni wazi Duniani kuna vituko vingi lakini kwenye hivi vituko hatuwezi kuisahau tanzania kabisa! Lakini hivi karibuni msanii wa kizazi kipya H.baba baada ya kukosa Tunzo za KTMA hasa pale alipopambambanishwa na Diamond na kukosa Tunzo! Msanii H.Baba alisema wazi kabisa Diamond hakustahili bali yeye ndio alistahili hivyo akaona bora ajitoe kabisa na akasema hata kusikia kabisa hizo Tunzo!

Hivi karibuni Msanii H.baba aliibika na kituko cha aina yake ninachokifananisha na mtu ambaye aliyejitungia mtihani wa hesabu na kuusolve mwenyewe halafu anajisahishia kisa anajipongeza!

Msanii H.baba hivi karibuni aliibuka na Tunzo zake alizo ziita 'Tunzo za familia'. Katika hizo tunzo msanii H.baba alijipa yeye tunzo, mke wake na mtoto wake! Kwenye hizo tunzo aliwaalika wageni wa kutoa tunzo ili waikabidhi familia yake pamoja na yeye!

Kitendo chake hiki kilichukuliwa na wengi ni kuchanganyikiwa baada ya kukosa Tunzo za Kill!

Karibuni wana jamvi!


Karibuni! H baba na familia yake wakikabidhiwa tunzo.

Sijakuelewa kajizawadia TUNZO au TUZO? Inawezekana hujamuelewa na unakosea kumtoa akili.Kama ni TUNZO Hiyo itakua kitu kipya mi sioni tatizo lkn ingekua TUZO hata mi ningeshangaa!!..#kiswahili kigumu#
 
Hii inafanana na ile sinema ya Mr. Bean alijitumia card ya Christmas mwenyewe halafu akashangilia sana!

Teh Teh mkuu Ndallo umenichekesha sana...
 
Last edited by a moderator:
Toka aanze kuwapa watoto wake sijui majina kama Tanzanite na Africa huwa namuonaga hana akil kabisa ptuu

Hahahahaaa jamaa swaga zake ziko kama wakongoman.Halafu itakua wanatumia kitaulo na mkewe.
 
majina ya wtoto wake sasa wa kwanza anaitwa tanzanite wa pili africa
 
Hio kitaalamu inaitwa kutoa gundu
 
Kwani kosa li wapi? Kajiandalia, kaalika watu, kajikabidhi mwenyewe! Hajavunja sheria.
 
Frola anajichubua hilo si la kuuliza

Watumia vitaulo wote na wafe kwa kansa tu.Wanamkosoa Mungu kwa kuwanyima ngozi ya Mtume, hata mtu ajichubue vipi hawezi kuwa sawa na yule aliyejaaliwa.

cc: Diva Beyonce
 
Last edited by a moderator:
Watumia vitaulo wote na wafe kwa kansa tu.Wanamkosoa Mungu kwa kuwanyima ngozi ya Mtume, hata mtu ajichubue vipi hawezi kuwa sawa na yule aliyejaaliwa.

cc: Diva Beyonce

Utapigwa weweee ohooo
 
Last edited by a moderator:
Wabongo mnapenda majungu,sasa Kama amejipa tuzo si zake mwenyewe nye mnaumia nini
 
Back
Top Bottom