Msanii H. Baba na Tuzo za familia, huku ni kuchanganyikiwa?

Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI


tuzo nm [i-/zi-] prize, reward.

tunzo
nm [li-/ya-] reward, award.
kalagabaho soma hapo juu
Sijakuelewa kajizawadia TUNZO au TUZO? Inawezekana hujamuelewa na unakosea kumtoa akili.Kama ni TUNZO Hiyo itakua kitu kipya mi sioni tatizo lkn ingekua TUZO hata mi ningeshangaa!!..#kiswahili kigumu#

wewe utafungwa na TUKI!! Ni TUZO sio TUNZO!
LIKE Niku ADD
Tunzo ndio kitu gani?
kichwa cha habari kinasema tuzo,main body ibasema tunzo,tunzo ndio kitu gani?
Kichwa Ndio Mtu
kweli,kiswahili fasaha ni tuzo,kiswahili cha nulugo ni tunzo.

mshindi anatuzwa medali ya ushindi,sio anatunzwa medali ya ushindi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…