Nashauri madaktari Wa Mirembe wasikae maofisini tu,wagonjwa wanaowahusu wako wengi sana mitaani.
hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashauri madaktari Wa Mirembe wasikae maofisini tu,wagonjwa wanaowahusu wako wengi sana mitaani.
ni Tunzo ndio kiswahili fasaha
kalagabaho soma hapo juuKwa mujibu wa Kamusi ya TUKI
tuzo nm [i-/zi-] prize, reward.
tunzo nm [li-/ya-] reward, award.
Sijakuelewa kajizawadia TUNZO au TUZO? Inawezekana hujamuelewa na unakosea kumtoa akili.Kama ni TUNZO Hiyo itakua kitu kipya mi sioni tatizo lkn ingekua TUZO hata mi ningeshangaa!!..#kiswahili kigumu#
LIKE Niku ADDwewe utafungwa na TUKI!! Ni TUZO sio TUNZO!
Kichwa Ndio MtuTunzo ndio kitu gani?
kichwa cha habari kinasema tuzo,main body ibasema tunzo,tunzo ndio kitu gani?
kweli,kiswahili fasaha ni tuzo,kiswahili cha nulugo ni tunzo.
mshindi anatuzwa medali ya ushindi,sio anatunzwa medali ya ushindi.