Msanii H. Baba na Tuzo za familia, huku ni kuchanganyikiwa?

Msanii H. Baba na Tuzo za familia, huku ni kuchanganyikiwa?

Kwani anaimbia bendi gani..au hio miuno anakatia bendi gani?
 
Hahahahaaa nacheka kama mazuri vile! Haya bwana hongera zake.

Toka aanze kuwapa watoto wake sijui majina kama Tanzanite na Africa huwa namuonaga hana akil kabisa ptuu
 
Kiukweli sijawahi kumuelewa huyu jamaa katika fani yake ya uburudishaji
 
Nashauri madaktari Wa Mirembe wasikae maofisini tu,wagonjwa wanaowahusu wako wengi sana mitaani.
 
Back
Top Bottom