Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Chadema hawana haja na wasanii mkuu huo mda wa kutumbuiza wanatoa wali na ni mda wa kuuza sera
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha kisanii (CCM) kinahitaji wasanii ili kishinde. Si chama cha siasa bali cha mbwembwe tu. Hata kupata wasikilizaji katika mikutano yao ni lazima watangulize wasanii kwanza, upigwe mziki hapo na kuahidiwa wale watakuja mapema bia ni bure. Du watu watamiminika kufuata mshiko na wala sio neno la maendeleo, kwa sababu hilo neno la maendeleo zaidi ya bia halipo.
Harmonise usiwaache kula pesa yao mpaka mwezi wa kumi. Tahadhari: Safari hii usikubali kukopwa, chukua chako mapema kwani ukikopwa hutalipwa.