Uchaguzi 2020 Msanii HARMONIZE aachia wimbo matata wa kampeni CCM

Chadema hawana haja na wasanii mkuu huo mda wa kutumbuiza wanatoa wali na ni mda wa kuuza sera


Sent using Jamii Forums mobile app

Chama cha kisanii (CCM) kinahitaji wasanii ili kishinde. Si chama cha siasa bali cha mbwembwe tu. Hata kupata wasikilizaji katika mikutano yao ni lazima watangulize wasanii kwanza, upigwe mziki hapo na kuahidiwa wale watakuja mapema bia ni bure. Du watu watamiminika kufuata mshiko na wala sio neno la maendeleo, kwa sababu hilo neno la maendeleo zaidi ya bia halipo.

Harmonise usiwaache kula pesa yao mpaka mwezi wa kumi. Tahadhari: Safari hii usikubali kukopwa, chukua chako mapema kwani ukikopwa hutalipwa.
 
Ndio maana wasanii wenzao wakiteswa na huu utawala huwa kimya hawasemi chochote, Idris amekaa rumande karibia wiki nzima bila kupelekwa mahakamani, hakuna msanii yeyote wa maana aliyetoa sauti yake kulaani lile tukio, wao wanajua kutoa nyimbo za kusifia tu.

Akili ndogo kushika hatamu ni tatizo kubwa sana nchi hii, kule Marekani tumeona wasanii weusi wakipinga uonevu wa polisi wa kizungu, hapa kwetu wanajua kujipaka poda, kuongea huku wamebana pua, na kujilamba lamba midomo.
 
LISU LISU LISU
 
Chadema hawana mipango wala sera ni kudandia matukio kwenye mitandao tu, ndo wanachojuwa.
 
MACCM miziki itawasaidia sana kupoteza mda wa kampeni, maana hamna jipya la kuwambia wananchi.

CHADEMA na LISSU wanahitaji muda wakufikisha sera kwa wananchi.

#LISSURAIS2020
 
Ni muda muafaka wa wasanii na raia kula hela za majizi ya ccm, yakileta vitenge na chumvi chukueni kura mpeni tundu lissu.
 
Binafsi naisapoti serikali ya Magu lakini huu wimbo ni mafi ya kuku na unawafaa wale wanaopewa Tshirt,Bia,soda na vitenge.
 
Harmonize ameamua kuipaka matope brand yake mapema basi sawa siasa zikipita tusilaumiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…