Tetesi: Msanii Harmonize ameachwa na socialite Poshy Queen

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mahusiano ya harmonize maarufu kwa jina la Konde boy na socialite Poshy Queen yanaonekana kuvunjika na mwanadada huyo ameonekana kuwa na mwanaume mwingine kwenye club night moja. Dalili za kuachana kwao imeanza mapema baada ya kuunfollow kila mmoja wao.

Una mshauri vipi bwana Kondeboy kwenye mahusiano ukizingatia alishatangaza hadi tarehe ya ndoa ya kumuoa mrembo huyo na kwasasa mambo yameshavunjika na kijana kagharamia sana huyu mrembo.
 
Mahusiano ya harmonize maarufu kwa jina la Konde boy na socialite Poshy Queen yanaonekana kuvunjika na mwanadada huyo ameonekana kuwa na mwanaume mwingine kwenye club night moja.Dalili za kuachana kwao imeanza mapema baada ya kuunfollow kila mmoja wao.

Una mshauri vipi bwana kondeboy kwenye mahusiano ukizingatia alishatangaza hadi tarehe ya ndoa ya kumuoa mrembo huyo na kwasasa mambo yameshavunjika na kijana kagharamia sana huyu mrembo
Dont be serious na mahusiano ya celebrities. Hizo ni social stunts
 
Mahusiano ya harmonize maarufu kwa jina la Konde boy na socialite Poshy Queen yanaonekana kuvunjika na mwanadada huyo ameonekana kuwa na mwanaume mwingine kwenye club night moja.Dalili za kuachana kwao imeanza mapema baada ya kuunfollow kila mmoja wao.

Una mshauri vipi bwana kondeboy kwenye mahusiano ukizingatia alishatangaza hadi tarehe ya ndoa ya kumuoa mrembo huyo na kwasasa mambo yameshavunjika na kijana kagharamia sana huyu mrembo
washapeana UKIMWI maisha yaendeleee
 
Harmonize nisiwe mnafiki namuona kwenye media na kusikia nyimbo zake, huyo Poshy Queen ndio nani huko dasalama?
mambo ya harmonize mzee wa kupenda posterior
1728303059320.png
 
Yule dogo anapenda mikia balaa, sijui huwa anaifanyia kazi gani...
Dogo p didy yule we hukuwahi kuona clip ya yule dada muhudumu wa hotel Zenji alienda kwenye shoo akafikia hapo hoteli, si unajua watoto hawa kwa tamaa kuitwa kaenda nchomba nchumali alitembeza rungu kama yule nyundo ni tope tu tope tu tangu hotelia kutoka hapo analia lia tu, hivyo huyo bwana ni mzee wa liwati bingwa kabisa
 
Mahusiano ya harmonize maarufu kwa jina la Konde boy na socialite Poshy Queen yanaonekana kuvunjika na mwanadada huyo ameonekana kuwa na mwanaume mwingine kwenye club night moja. Dalili za kuachana kwao imeanza mapema baada ya kuunfollow kila mmoja wao.

Una mshauri vipi bwana Kondeboy kwenye mahusiano ukizingatia alishatangaza hadi tarehe ya ndoa ya kumuoa mrembo huyo na kwasasa mambo yameshavunjika na kijana kagharamia sana huyu mrembo.
Poshy queen hana jeuri ya kumuacha konde bway....hizo ni kiki kama kiki zingine.
 
Dogo p didy yule we hukuwahi kuona clip ya yule dada muhudumu wa hotel Zenji alienda kwenye shoo akafikia hapo hoteli, si unajua watoto hawa kwa tamaa kuitwa kaenda nchomba nchumali alitembeza rungu kama yule nyundo ni tope tu tope tu tangu hotelia kutoka hapo analia lia tu, hivyo huyo bwana ni mzee wa liwati bingwa kabisa
Dogo ni PDiddy 😂😂😂
 
clip gani hiyo mkuu? tuekee basi
 
Back
Top Bottom