Tetesi: Msanii Harmonize ameachwa na socialite Poshy Queen

Tetesi: Msanii Harmonize ameachwa na socialite Poshy Queen

Ni kawaida tu, unapiga shwa shwa shwa unatoa mpunga, unaenda kwa mwingine tena.
 
Unapata wapi mda wa kuandika useless thread like this, Man?
Kuisoma,kuitathmini na kugundua kuwa ni useless mpaka 'damn!' kufikia ku-comment nadhani ndiyo jambo la kustaajabisha zaidi kama unaamini kwamba 'the thread is useless'.
Kuna majukwaa mengi tu,unaweza kujikita kwenye jukwaa la kilimo.
Wengine baada ya michoko ya siku this becomes simply a 'refreshment'.
 
Back
Top Bottom