Tetesi: Msanii Harmonize ameachwa na socialite Poshy Queen

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mahusiano ya harmonize maarufu kwa jina la Konde boy na socialite Poshy Queen yanaonekana kuvunjika na mwanadada huyo ameonekana kuwa na mwanaume mwingine kwenye club night moja. Dalili za kuachana kwao imeanza mapema baada ya kuunfollow kila mmoja wao.

Una mshauri vipi bwana Kondeboy kwenye mahusiano ukizingatia alishatangaza hadi tarehe ya ndoa ya kumuoa mrembo huyo na kwasasa mambo yameshavunjika na kijana kagharamia sana huyu mrembo.
 
Dont be serious na mahusiano ya celebrities. Hizo ni social stunts
 
washapeana UKIMWI maisha yaendeleee
 
Yule dogo anapenda mikia balaa, sijui huwa anaifanyia kazi gani...
Dogo p didy yule we hukuwahi kuona clip ya yule dada muhudumu wa hotel Zenji alienda kwenye shoo akafikia hapo hoteli, si unajua watoto hawa kwa tamaa kuitwa kaenda nchomba nchumali alitembeza rungu kama yule nyundo ni tope tu tope tu tangu hotelia kutoka hapo analia lia tu, hivyo huyo bwana ni mzee wa liwati bingwa kabisa
 
Poshy queen hana jeuri ya kumuacha konde bway....hizo ni kiki kama kiki zingine.
 
Dogo ni PDiddy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

clip gani hiyo mkuu? tuekee basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…