Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Chuki binafsi,,, chuki za hivi zinaweza kukupelekea ukawa wizar.
Jukwaa bayaaaaa kama show ya kibisa,show imepooza mno,jamaa sijui kwa nn hana amsha amsha kivile,halafu funga kazi mavazi hasa ile suti la kung'ara ng'ara utafikiri anapigia show huko Chitoholi kwenye harusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuja kuwa akizidisha bidii
Utakuaje no 1 ikawa huna mashabiki wengi mfano mzuri tukio lake hili ni kubwa halijatred kabisa limekosa Kiki, utakuaje no 1 ikiwa nyimbo zako hazina viewers kubwa Kama nyimbo diamond?utakuaje no 1 ikiwa huna show nyingi na zenye ukubwa kuzidi diamond? utakuaje no 1 ikiwa nyimbo zako hazina manunuzi Kama ya nyimbo za diamond?utakuaje no 1 ikiwa ufanyi vizuri international zaidi ya diamond?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaimba kiingereza maneno machache anayarudia hayohayo kila wimbo. Lugha ya malkia ni ya bei wajameni bora tukomae tu lugha ya taifa
 
Ana nyumba wapi njoo nikupeleke kwake nyuma ya kituo Cha Makumbusho ... Acheni kuamini story za mitandao

Sent using Jamii Forums mobile app
Maua sio mtu wa mtandaoni kwanza tambua hilo huwa sio mtu wa show-off anaweza akawanayo naasiseme ni msanii wa aina ya kina FA watu wa kufanya yao kimya kimya usimchukulie poa mtu wa hivyo.
 
nakuelewa kop mwenzangu huwa upo clearly kabisa.. tatizo hapa naona lipo kwa huyu innocent dependent mbona anaponda sana juhudi za wenzake?

Hahaha, nasikiliza wimbo wa Meja Kunta na Lavalava, sasa ulivyomtaja huyo dogo nikaona kama ndiye anayeimbwa.

Sema jamaa namwelewa, analipwa kwa kazi hiyo. Nadhani ndiye PR wa WCB humu JF.
 
Hahaha, nasikiliza wimbo wa Meja Kunta na Lavalava, sasa ulivyomtaja huyo dogo nikaona kama ndiye anayeimbwa.

Sema jamaa namwelewa, analipwa kwa kazi hiyo. Nadhani ndiye PR wa WCB humu JF.
Kama ni kazi yake sawa.
Ila ntasikitika Sana kama halipwi huyu jamaa.

Kumbe ni kwioo wa wcb?
 
Back
Top Bottom